Zoezi la uchaguzi mkuu linaloendelea maeneo mbalimbali Zimbabwe
Rais wa zamani wwa Zimbabwe, Robert Mugabe akipiga kura katika uchaguzi mkuu Harare, Zimbabwe, Julai 30, 2018
Kiongozi wa kambi kuu ya upinzani Zimbabwe Nelson Chamisa apiga kura katika kituo cha kupiga kura Zimbabwe, Jumatatu, Julai 30, 2018.
Wapiga kura nchini Zimbabwe wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi mkuu mjini Harare, Julai, 30, 2018
Wafuasi wa mgombea urais wa chama cha upinzani Zimbabwe (MDC), Nelson Chamisa wakihudhuria mkutano wa mwisho wa kampeni za uchaguzi Harare, Zimbabwe, Julai 28, 2018.
Rais anaemaliza muhula wake, Emmerson Mnangagwa akifanya kampeni kabla ya uchaguzi wa urais Julai 30, 2018.
Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya, wakiwa ni sehemu ya watu 44 waliotumwa na umoja huo wakiwa Harare Juni 23, 2018, kabla ya kuanza kwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Julai 30, 2018 nchini Zimbabwe.
Wapiga kura wa Zimbabwe wakiwa tayari kupiga kura katika uchaguzi mkuu Harare, Zimbabwe, Julai 30, 2018.
Mwananchi wa Zimbabwe akipiga kura yake katika uchaguzi mkuu Harare, Zimbabwe, Julai 30, 2018.
Helen Katandika kutoka eneo la Arcturus lenye migodi na kilimo anasema atampigia kura Mgombea Mnangagwa.
Rais Emmerson Mnangagwa akipiga kura katika uchaguzi wa urais katika eneo la shule ya msingi ya Sherwood Park katika mji wa Kwekwe, Zimbabwe, julai 30, 2018.
Wanawake wa Zimbabwe wakiomba Mungu kabla ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu mjini Harare, Zimbabwe, Julai 30, 2018.
Wananchi wa Zimbabwe wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi mkuu Harare, Zimbabwe, Julai 30, 2018.