Uchaguzi Mkuu Kenya 2022: William Ruto Rais Mteule wa Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya imemtangaza William Ruto Rais Mteule wa Kenya. Ungana na waandishi wetu walioko Nairobi na Mombasa wakichambua matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa Jumatatu...