Uchaguzi Kenya Katika Picha 2013

Watu waliripoti kusimama katika mistari kwa saa kadha kabla ya kupiga kura huko Gatundu, Kenya, March 4, 2013.” (J. Craigs/VOA)

Wakenya wakiwa katika msitari wa kupiga kura mjini Nairobi

Msitari unazidi kuongezeka katika shule ya msingi ya Mutomo wakati wanajitayarisha kupiga kura, Gatundu, Kenya, March 4, 2013.” (J. Craig/VOA)

Watu wa jamii ya Wamasaai wakiwa katika msitari wa kupigia kura katika uchaguzi mkuu nje ya shule ya msingi ya huo Kumpa, Kenya, March 4, 2013.

Mgombea urais wa Jubilee Uhuru Kenyatta akipiga kura katika kituo cha nyumbani kwake Gatundu, Kenya, March 4, 2013. (J. Craig/VOA)

Wanawake wa Kimasaai wakiwa katika msitari wa kupigia kura huko Kumpa, Kenya, March 4, 2013.

Some voters arrived before 6:30 am and did not cast their ballots until after 11 am at Mutomo Primary School in Gatundu, Kenya, March 4, 2013 elections. (J.Craig/VOA)

Afisa uchaguzi akiweka alama katika kidole cha mtu aliyekwishapiga kura, Gatundu, Kenya, March 4, 2013.” (J. Craig/VOA)

Mwanamke akiwa na mtoto wake anapiga kura ndani ya kituo cha Gatundu March 4, 2013.

WaKenya wakisubiri kupiga kura nje ya kituo cha Kibera, Nairobi March 4, 2013.

Wafuatiliaji uchaguzi kutoka vyama vyote ya siasa Kenya walijipanga kuangalia upigaji kura, March 4, 2013, (Roopa Gogineni/VOANews).

Mwanamke akipita mbele ya ukuta uliobandikwa mabango ya kampeni katika mtaa wa Nairobi March 3, 2013.