Uchaguzi 2022 Kenya unatarajiwa kukabiliwa na changamoto za kimkakati na kisheria

Your browser doesn’t support HTML5

Wachambuzi nchini Kenya wanasema Kando na ushindani mkali baina ya wagombea 38, ambao majina yao yamechapishwa katika gazeti la serikali, uchaguzi wa mwaka 2022 unatarajiwa kukabiliwa na changamoto za kimkakati na kisheria.