UAE na Israeli waanzisha mahusiano ya kidiplomasia
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Trump asifia mahusiano mapya ya kidiplomasia kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na serikali ya Israeli akisema yanafaa kuigwa na nchi za Kiarabu na Kiislam.
Your browser doesn’t support HTML5