Zulia Jekundu Tuzo za Oscars kubadilika mwaka 2021 23 Aprili, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Tuzo za Oscars zinafanyika jumapili hapa Marekani ambapo mwaka jana ulikuwa ni mwaka wa mabadiliko katika kitengo cha filamu bora.