Tshisekedi amteua kiongozi wa wanamgambo kuwa Waziri wa Ulinzi

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa zamani wa wanamgambo ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi DRC

Rusesabagina ambaye alionyeshwa kama shujaa katika filamu ya Hotel Rwanda anatarajiwa kuachiwa kesho.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari