Trump amkirimu Macron kwa hafla ya chakula cha usiku

Rais Donald Trump, mkewe Melania Trump, Brigitte Macron, na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuhudhuria hafla ya chakula cha usiku, White House, Washington, Aprili 24, 2018.

Maandalizi ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na White House  kwa heshima ya Rais wa Ufaransa Emmanuel  Macron mjini Washington, Marekani, Aprili 23, 2018.

Rais Donald Trump na mkewe Melania na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe Brigitte wakijiandaa kupiga picha ya pamoja katika ziara yao wakitembelea makazi ya Rais wa kwanza wa Marekani George Washington huko mji wa Mount Vernon, nje ya  jimbo la Virginia.

Rais wa Marekani Donald Trump akiongea na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron (watatu kulia kutoka chini) wakati alipokuwa akiongoza mkutano unaohusu mazungumzo zaidi baina ya ushirikiano wa pande mbili katika chumba cha mawaziri, ambao ulihudhuriwa na maafisa wengine baada ya ugeni huo kukaribishwa kwa hafla fupi huko White House.

President Donald Trump and first lady Melania Trump prepare to greet French President Emmanuel Macron and his wife Brigitte Macron as they arrive for a State Dinner at the White House in Washington, April 24, 2018.

Rais Trump akionyesha urafiki wake wa karibu na mgeni wake Rais wa Ufaransa, wakiwa White House Aprili 24, 2018.

Marais hao katika hafla hii wanaonyesha urafiki wao kwa maneno na vitendo,