Tanzania yafanya mazungumzo na Burundi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kuhusu ukamilishaji wa miradi ya maendeleo inayoshirikisha nchi hizo mbili.