Bunge la Tanzania lashutumiwa kutoruhusu matangazo ya moja kwa moja

Tanzania Parliament

Kufuatia kufunguliwa kwa kikao cha bunge Jumatatu Aprili 25, 2016 nchini Tanzania, baadhi ya wananchi walilalamikia hatua ya serikali kusitisha matangazo ya moja kwa moja kuhusu shughuli za bunge hilo kupitia redio na Televisheni.

Makamu mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini humo, Deodatus Balile akizingumza na Idhaa ya Kiswahili amezungumzia baadhi ya hatua ambazo wanachukua wakiwasiliana na wahusika ili kupata ufumbuzi wa suala hilo.

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania pols parliament