Tanzania na Botswana kuimarisha ushirikiano wao

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania na mwenzake wa Botswana ambaye anaitembelea nchi hiyo wamekubaliana kuimarisha uhusiano wa kiuchumi, kibiashara na kiuwekezaji.