Tanzania: Mafanikio ya upimaji wa vimelea vya kifua kikuu kwa kutumia panya

Your browser doesn’t support HTML5

Upimaji wa vimelea vya ugonjwa wa kifua kikuu kwa njia ya panya waliofundishwa kunusa sampuli za makohozi ya watu ili kubaini ugonjwa huo. Kutokana na uwezo wao mkubwa wa kunusa wameweza kutambua sampuli zenye vimelea vya TB hata pale njia za kawaida zilishindwa.

Sikiliza yale Meneja wa Programu ya Panya anavyoeleza ufanisi unaoonyeshwa na panya katika upimaji huo. Endelea kusikiliza ripoti kamili ya mwandishi wetu nchini Tanzania...