Taasisi za serikali zatakiwa kuhakikisha hazina App ya TikTok

Your browser doesn’t support HTML5

White House ya Marekani imetoa siku 30 kwa taasisi za serikali kuhakikisha hazina App ya TikTok. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo kamili kuhusu sababu zilizopelekea amri hiyo...