Mashambuliyo yaripotiwa Syria licha ya makubaliano ya usitishaji mapigano

Mtu anakagua shati la kijana wake aliyeuliwa kutokana na shambulio la ndege katika mji unaoshikiliwa na waasi wa Damascus, Syria, Feb. 27, 2016.

Kijana akikagua nyumba iliyoharibiwa kwa shambullizi katika mji unaoshikiliwa na kiunga cha Douma, mjini Damascus, Syria, Feb. 27, 2016.

Lt.-Gen. Sergei Rudskoi afisa wa jeshi la Russia akizungumza na waandishi habari Moscow, Feb. 27, 2016.

Majumba yaliyo haribiwa na mabomu huko Homs, Syria, Feb. 26, 2016.

Mtu akitembea katika mtaa wa kale wa Homs uloharibiwa kabisa na vita, Feb. 26, 2016.

Mwakilishi wa kudumu wa Syria kenye Umoja wa Mataifa Bashar Ja'afari akihudhuria mkutano wa Baraza la Usalama juu ya usitishaji wa mapigano Syria, Feb. 26, 2016.

Syrian children walk between destroyed buildings in the old city of Homs, Feb. 26, 2016.