Somalia yakubalika rasmi kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la Wikiendi linaangazia mwanachama mpya wa Afrika Mashariki ambaye ni Somalia amekubalika rasmi akiwa ni mwanachama wa nane wa jumuiya hiyo. Endelea kusikiliza uchambuzi wa kina kutoka kwa waandishi na wataalam mbalimbali katika kanda hiyo.