Silvina Guedes ambaye ni raia mpya wa Marekani anapiga kura kwa mara ya kwanza

Your browser doesn’t support HTML5

Raia mpya wa Marekani, Silvina Guedes, ambaye asili yake ni Mreno Novemba mwaka 2024 anapiga kura kwa mara ya kwanza. Ungana na mwandishi wa VOA akikuletea ripoti kamili....