Shirika la UN labuni mbinu mpya kukabiliana na uharamia Somalia

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na uharamia sasa limebuni mbinu mpya ya kuisaidia Somalia kukabiliana na uharamia.