Zambia : WHO yaijengea uwezo sekta ya afya kutoa huduma vijijini

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanachi wa Zambia aeleza jinsi alivyoweza kupata matibabu ikiwa ni matokeo ya mpango wa mafunzo wa Shirika la Afya Duniani kwa wafanyakazi wa afya nchini humo kuboresha huduma za vijijini.