Mahakama ya Juu yaamua Rais Kenyatta ni mshindi halali
Wafuasi wa Rais Kenyatta washerekea uamuzi wa Mahakama ya Juu
Wafuasi wa Jubilee wakisheherekea ushindi wa mahakama Nairobi.
Wafuasi wa Jubilee wakiandamana mjini Nairobi
Mkusanyiko mkubwa wa wafuasi wa Jubilee Nairobi
Wafuasi wa Jubilee wakisherekea mjini Mombasa
Wanafuasi wa Jubilee wakifurahia ushindi wa Kenyatta Mombasa
Wafuasi waJubilee wakishangilia ushindi wa Kenyatta Nairobi
Wapinzani wa Jubilee wafunga njia mjin Migori kulalamika uwamuzi wa mahakama kuu
Wapinzani wa uwamuzi wa mahakama ya juu waweka mawe njiani Migori, Kenya
Wapinzani walokasirika na uwamuzi wa mahakama ya juu wakibeba silaha Migori, Magharibi ya Kenya