Shambulizi la Septemba 11 : Mbwa stadi wanavyoendelea kubaini vilipuzi

Your browser doesn’t support HTML5

Timu za ulinzi wa kutumia mbwa katika viwanja vya ndege vyote vinatekeleza jukumu muhimu la kuiweka Marekani salama kutokana na vitisho vya magaidi baada ya shambulizi la kigaidi la Septemba 11.