Shambulizi la Russia katika bweni laua saba na kujeruhi 16 Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Gavana wa KhirKiv, Ukraine amesema kwamba shambulizi lililofanywa na Russia kwenye bweni Jumatano limeuwa watu saba na kujeruhi wengine 16.