Shambulizi kubwa la Bomu Somalia
Your browser doesn’t support HTML5
Watu sita wameuawa mjini Mogadishu, Somalia kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea karibu na kituo cha ukaguzi wa usalama kuelekea ikulu ya rais.
Your browser doesn’t support HTML5