Mashambulizi katika maeneo kadha ya Paris yauwa zaidi ya 100

Watu wakiwa wanaondoka katika uwanja wa mpira wakati wa mechi ya kirafiki baina ya Ufaransa na Ujerumani

Watoa huduma za tiba wakiwa na baadhi ya waathirika nje ya mgahawa mmoja ulioshambuliwa mjini Paris, Nov. 13, 2015.

Baadhi ya watu waliouawa nje ya mmoja wa mgahawa ulishambuliwa

Ramani ya eneo la Paris ambalo lilishambuliwa

Wafanyakazi za uokozi wakijaribu kusaidia waathirika nje ya moja ya mgahawa ulioshambuliwa Paris, Nov. 13, 2015.

Wapenzi wa mpira wakiwa wamejazana katikati ya uwanja wa mpira, France Stadium, baada ya mpira kumalizika na kuambiwa wako salama zaidi wakibaki ndani kuliko kutoka nje ya uwana, Nov. 13, 2015.

Watoa huduma za tiba wakisaidia watu

Watoa huduma za afya wakisaidia watu

Shambulizi la Paris katika picha iliyobandikwa kwenye mtando wa twitter