Serikali ya Ufaransa imeonya itatumia nguvu za umiliki kumaliza mgomo wa wafanyakazi

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Ufaransa imewaonya wafanyakazi wa mafuta wanaogoma kwamba huenda ikatumia nguvu zake za umiliki kuwalazimisha wafanyakazi hao waliogoma kurudi kazini ili kukabiliana na uhaba wa mafuta.

- Wakati huohuo kiongozi wa mrengo wa kushoto ameunga mkono madai ya vyama vya wafanyakazi kuendelea na mgomo.

Ungana na mchambuzi wetu kutoka Paris akielezea tatizo lililopelekea kuwepo uhaba wa bidhaa muhimu nchini