Serikali ya Nigeria yawakataza raia wake kujihusisha na vita vya Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa haitaruhusu raia wake kujihusisha na vita vya Ukraine ambapo wanajeshi wa Russia wanaendelea kuishambulia nchi hiyo kwa mabomu na risasi.