Serikali ya Ethiopia yawashikilia waandishi wa habari 19

Your browser doesn’t support HTML5

Katika kipindi cha chini ya mwezi moja jeshi la polisi la serikali ya shirikisho la Ethiopia wamewakamata na wanawashikilia wanahabari 19 wanaondika katika mitandao ya kijamii.