Wakristo kote dunia waadhimisha sikukuu ya Pasaka

Askofu Eric de Moulins Beaufort, wa Ufaransa akiwaongoza waumini akibeba msalaba wakielekea katika kanisa lkuu la Sacre Coeur basilica mjini París. AP.

Waumini wanaofunika nyuso wakihudhuria ibada, Santa Veracruz" brotherhood, wakati wa Wiki Tukufu mjini Calahorra, kaskazini mwa Hispania, April 12, 2017.

Kasisi Joaquim Gomes da Costa, (katikati) wa Fiscal, Amares, kaskazini mwa Ureno wakivuka mto Homem  kwa boti akibeba Msalaba wa Kristo na akitembelea nyumba moja hadi nyingine na kuwabariki familia huko  Jumatatu April 21,

Waumini wakibeba Msalaba wakipita Njia ya Msalaba mjini Warsaw, Poland, Ijuma, April 3, 2015.

Waumini wakitembea mjini Lohr am Main, Ujerumani wakibeba Msalaba siku ya Ijuma Kuu, April 14, 2017.

Wasani wakiiga yaliyomkuta Yesu, wakiwa katika Uwanja wa Trafalgar mjini London, Ijuma, April 14, 2017.

Brendan Paul, (katikati), anachukua nafasi Yesu, akiwaongoza waumini wa mji wa  aWesley Mission Sydney,

Waumini wa Filipino wakiwa na Msalaba wa mbao washiriki katika kufufuka kwa Jesu katika jimbo la  Cutud, Pampanga kaskazini ya Ufilipino.

Mahujaji wa kikristo wakihudhuria ibada ya Ijuma Kuu mjini Jerusalem Friday, April 14, 2017.

Waumini wa Kikristo wakirudia kitendo cha Yesu kusulubiwa kwenye msalaba mjini Jammu India.

Mabaki ya jengo la makumbusho la Colosseum Rome ambako Papa Francis alihudhuria Ibada ya Ijuma Kuu, April 14, 2017.

Msudan Kusini asiyejulikana ni nani akivaa nguo kama Yesu Christo mjini Juba, Sudan Kusini.