Hali ilivyokuwa katika mashambulizi ya Paris
Mishumaa, maua yakiwa yameachwa kwenye picha inayosema 'Mimi ni Paris'
Maua katika sehemu za mauaji
Mkazi wa Paris akiweka maua sehemu ilipotokea mauaji
Wanajeshi wa Ufaransa wakifanya doria karibu na Eiffel Tower siku moja baada ya shambulizi la Ijumaa
Maua zaidi
Polisi wa Ufaransa wakikagua magari katika mpaka wa nchi hiyo na Italia Jumamosi Novemba 14
Watu wakipita mbele ya mgawa na ukumbi wa maonyesho ambapo mashambulizi yalitokea Ijumaa
Rais Hollande wa Ufaransa akiwa ameongozana na maafisa wa serikali yake
Doria mjini Paris siku baada ya mashambulizi
Watazamaji wajazana katikati ya uwanja wa taifa siku ya mashambulizi baada ya kusikia milipuko