Kiongozi wa juu wa Baraza la Kiusalama linalosimamia sehemu zinazoshikiliwa na waasi hao nchini Yemen. Katika Juhudi hizi kiongozi huyo ameisifu Omani kwa kuongoza mazungumzo haya ya amani. Endelea kusikiliza...
Saudi Arabia yafanya mazungumzo ya kutafuta amani na waasi wa Kihouthi Yemen
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa wa Saudi Arabia wamefanya mazungumzo na waasi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen kama sehemu ya juhudi za kimataifa za kutafuta suluhu katika mapigano yanayoendelea kwa miaka tisa nchini Yemen.