Mawaziri 36 wa Nigeria waapishwa

Waziri mpya wa usafiri wa Nigeria akicheka mara baada ya kuapishwa.

Mawaziri wapya wa Nigeria wakishiriki katika sherehe za uapishwaji mjini Abuja.

waziri wa nishati, kazi na nyumba Babatunde Fashola pamoja na waziri wa habari Lai Mohamed wakila kiapo

waziri wa mambo ya ndani wa nigeria Abdulrahaman Bello akipeana mkono na rais wa Nigeria Muhamadu Buhari

Waziri wa usafirishaji Sufuri Rotimi akipeana mkono na rais Muhamadu Buhari

Waziri wa madini Kayode fayemi akipongezwa na rais wa nigeria

Mawaziri kadhaa wa Nigeria waapishwa