Russia yazuia misaada ya kibinadamu kuwafikia wananchi wa Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Ukraine imesema Alhamisi Moscow imekataa kuruhusu huduma za kibinadamu kuokoa maelfu ya raia waliokwama katika maeneo yenye mashambulizi wakati pande zinazopingana zilishindwa kufanya chochote katika mazungumzo ya ngazi ya juu tangu Russia ilipoivamia Ukraine.