Russia yakidhibiti kituo cha nyuklia Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Russia imechukua udhibiti wa kituo kikubwa cha nyuklia cha Ulaya huko Ukraine baada ya jeshi la Russia kukishambulia kwa makombora.

Nchini Tanzania mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe aachiwa huru..

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari