Russia yafanya mashambulizi 44 ya anga Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Msemaji wa Jeshi la Ukraine asema Russia imefanya mashambulizi 44 nchini Ukraine ikiwa ni pamoja na kutumia ndege zisizokuwa na rubani. Endelea kusikiliza ripoti kamili kuhusu hujuma hiyo ya Kremlin...