Repoti: Benki ya Dunia yalenga kuyasaidia mataifa kupunguza uzalishaji wa gesi chafuzi

Your browser doesn’t support HTML5

Repoti ya Benki ya Dunia yalenga kusaidia nchi mbalimbali kuweka kipaumbele kwenye hatua zenye tija zaidi kwa malengo ya kupunguza uzalishaji wa gesi chafuzi. Ungana na mwandishi wetu mjini Dar es Salaam akikuletea habari kamili...