Picha za Ramadhan kutoka sehemu mbali mbali duniani

Watoto wa Kiislamu Kenya wakisoma Quran katika siku ya 11 ya mwezi wa Ramadhan

Waislamu huko mashariki ya kati wakisoma Quran katika mwezi wa Ramadan

Ramadhan nchini Pakistan

Ramadhan huko Yemen

Ramadhan Indonesia

Ramadhan mashariki ya kati, nchini Misri

Wakati wakisoma Quran katika msikiti wakati wa mwezi wa Ramadhan mjini Cairo, Misri, June 18, 2015. REUTERS/Asmaa Waguih - RTX1H5IE

Rais Barack Obama akikaribisha wageni siku aliyofuturusha White House June 22, 2015, mjini Washington.

Vijana wa kiume nchini Libya wakisoma Quran wakati wa mwezi wa Ramadhan katika mji wa  Benghazi, June 29, 2015. REUTERS/Esam Omran Al-Fetori - RTX1IC54

Familia za Kisomali wakipata futari katika kituo cha misaada mjini Mogadishu June 22, 2015. REUTERS/Feisal Omar - RTX1HMYN

Ramadhan ndani ya India Kashmir

Ramadhan ndani ya Bangladesh