Rais wa Uturuki atangaza miezi mitatu ya hali ya dharura kufuatia tetemeko la ardhi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Uturuki ametangaza miezi mitatu ya hali ya dharura katika majimbo kumi yaliyoko kusini mwa nchi hiyo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari