Rais wa Russia adai ushindi na kutangaza Mariupol imekombolewa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Russia Vladimir Putin Alhamisi amedai ushindi katika mapigano mkubwa kwenye vita ya Ukraine na akitangaza kuwa mji wa bandari wa Mariupol umekombolewa.

- Afrika Kusini yaathiriwa na moja ya majanga mabaya ya asili baada ya dhoruba ya nguvu kupiga mji wa pwani ya Durban na kusababisha vifo.

- Ziwa Tanganyika lafurika katika baadhi ya maeneo ya mpakani nchini DRC

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari