Rais Ramaphosa aidhinisha sheria ya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametia saini sheria mpya inayolenga kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia unaofanywa kwa wanawake na wasichana nchini humo.