Rais Biden atangaza rasmi kugombea tena uchaguzi wa 2024

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza rasmi kwamba atagombea tena katika uchaguzi wa 2024 akiwaomba wapiga kura kumpa muda zaidi ya kumaliza kazi aliyoianza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari