Upinzani Kenya wamwandikia barua rais Uhuru Kenyatta

CORD Kenya

Kiongozi wa muungano wa upinzani wa kisiasa nchini Kenya, Raila Odinga, siku ya Jumanne alimwandikia barua rais Uhuru Kenyatta, na kumtaka aanzishe mazungumzo ya kitaifa yatayowahusisha wadau wote, yenye lengo la kuikarabati tume ya uchaguzi na mipaka.

Kiongozi wa muungano wa upinzani wa kisiasa nchini Kenya, Raila Odinga, siku ya Jumanne alimwandikia barua rais Uhuru Kenyatta, na kumtaka aanzishe mazungumzo ya kitaifa yatayowahusisha wadau wote, yenye lengo la kuikarabati tume ya uchaguzi na mipaka. BMJ Muriithi ana taarifa kamili...

Your browser doesn’t support HTML5

Raila writes to uhuru