Raila Odinga aeleza kwa nini anashinikiza serikali ya Kenya ichukue hatua

Your browser doesn’t support HTML5

Raila Odinga: "Sisi hatuvunji sheria, sisi kama wana Azimio tumesema tutafuata maadili, kanuni za sheria na katiba yetu, ili haki yetu itimizwe, na haki yetu inaonyesha ya kwamba sisi ndiyo tulishinda uchaguzi".

Ungana na mwandishi wetu Hubbah Abdi Nairobi, Kenya akikuletea sababu zinazopelekea upinzani kushinikiza serikali ya William Ruto ichukue hatua.