Putin atangaza amri ya kijeshi katika majimbo manne aliyoyavamia kimabavu Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Russia Vladimir Putin ametangaza amri ya kijeshi katika majimbo manne aliyoyavamia kimabavu kutoka umiliki wa serikali ya Ukraine.