Waandamanji wanaompinga Trump, mjini Cleveland Ohio, July 21, 2016
Waandamanaji wanaompinga mgombea wa chama cha Republican Donald Trump , nje ya jumba ambalo kunafanyika mkutano mkuu wa chama cha RNC mjini Cleveland Ohio, katika siku ya mwisho ya mkutano huo July 21, 2016.

Polisi wakilinda eneo nje ya jumba ambalo kunafanyika mkutano mkuu wa chama cha RNC mjini Cleveland Ohio, katika siku ya mwisho ya mkutano huo July 21, 2016.
Waandamanaji wanaompinga mgombea wa chama cha Republican Donald Trump , nje ya jumba ambalo kunafanyika mkutano mkuu wa chama cha RNC mjini Cleveland Ohio, katika siku ya mwisho ya mkutano huo July 21, 2016.
Wanaume wawili wanatazama huku polisi wakifanya ulizi nje ya mkutano mkuu wa chama cha Republican mjini Cleveland, Ohio.July 21, 2016.