Maandamano ya kuwaunga mkono wakimbizi na wahamiaji mjini Washington

Licha ya baridi kali familia na watoto wao walishiriki katika maandamano ya kuwaunga mkono wakimbizi na wahamiaji Feb. 4, 2017, mjini Washington, D.C. (S. Islam/VOA)

Waandamanaji waliandamana kutoka jengo la Mahakama Kuu hadi White House siku ya Jumamosi kuwaunga mkono wahamiaji na wakimbizi. Feb. 4, 2017. (S. Islam/VOA)

Walemavu ni miongoni mwa waloandamana kuunga mkono waislamu, wahamiaji na wakimbizi mjini Washington. (A. Azhar/VOA)

Watoto wengi walijitokeza pia kupinga ubaguzi wa dini na wahamiaji. (A. Azhar/VOA)

Waandamanaji wakikusanyika mbele ya Mahakama Kuu ya Marekani kabla ya kuanza maandamano kuelekea Ikulu. (A. Azhar/VOA)

Watoto na familia zao wakibeba mabango kuunga mkono wahamiaji, waislamu na wakimbizi mjini washington, Feb. 4, 2017, in Washington, D.C. (A. Azhar/VOA)

Watoto na familia zao wakibeba mabango kuunga mkono wahamiaji, waislamu na wakimbizi mjini washington, Feb. 4, 2017, in Washington, D.C. (S. Islam/VOA)

Protesters assembled on the Capitol Hill, Feb. 4, 2017, to protest what they see as a ban on Muslims entering the United States. A contingent of U.S. Capitol police stood ready. (A. Azhar/VOA)