Rais Obama atembelea Mashariki ya Kati
Rais wa Marekani Barack Obama akitabasamu karibu na waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu na rais Shimon Peres kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv, March 20, 2013.
Rais wa Marekani Barack Obama akikagua gwaride la heshima kwenye uwanja wa ndege wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv, March 20, 2013.
Wanajeshi wa Israeli wakijitayarisha kwa sherehe rasmi za kumkaribisha rais Barack Obama kwenye uwanja wa ndege wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv, Israel, March 20, 2013.
Myahudi akipita mbele ya mabango yanayotowa wito kwa rais Barack Obama kumachilia huru Jonathan Pollard anaeshikiliwa katika jela ya Marekani huko Jerusalem, March 20, 2013.
Mwanamke wa kipalestina akibeba bangio wakati wa malalamiko huko Gaza dhidi ya Ziara ya rais wa Marekani Barack Obama, March 20, 2013.
Wanajeshi wa Israel wakisukumana na mwanaharakati wa Kipalestina aliyeva kinyago cha Rais wa Marekani Barack Obama wakati wa maandamano kulalamika ziara yake kwenye mji wa Hebron Ukingo wa Magharibi, March 20, 2013.
Wapalestina walalamika dhidi ya ziara ya rais Obama huko Ramallah March 19.
President Obama (left) and Israeli PM Netanyahu at news conference in Jerusalem, March 20, 2013