Rais Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani

Rais Barack Obama akishuka kutoka ndege ya rais Air Force 1 akiwasili Chicago kutoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick, Jan. 10, 2017.

Rais Barack Obama akiwasili kutoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Kutoka kushoto, Makamu Rais Joe Biden, Jill Biden, mke wa rais Michelle Obama na Malia Obama wakimsikiliza Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Rais Barack Obama akifuta machozi alipokua akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Rais Barack Obama akiwapungia mkono watu walohudhuria hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

Duka lenye bango linalomshukuru Rais Barack Obama mjini Chicago, Ill., Jan. 10, 2017.

Ndege ya rais wa Marekani Air Force One yatua kwenye uwanja wa kijeshi wa at Andrews, Maryland, akirudi kutoka Chicago, Jan. 2, 2017.