Picha ya kiambatanisho kwa Wizara ya Sheria yaonyesha unyeti wa nyaraka zilizokutwa Mar-a-Lago

Your browser doesn’t support HTML5

Picha iliyotolewa kama kiambatanisho Jumatano usiku katika maombi kwa Wizara ya Sheria inaonyesha nyaraka zimesambazwa chini kwenye ofisi ya nyumbani ya Rais wa zamani Donald Trump kwenye makazi yake huko Mar-a-Lago na kuonyesha unyeti wa nyaraka hizo.