Washindi wa tuzo maarufu ya Oscar

Kutoka kushoto, Matthew McConaughey, Cate Blanchett, Lupita Nyong'o, na Jared Leto wakipiga picha katika chumba cha wandishi habari pamoja na tuzo lake la Oscars ndani ya jengo la michezo ya kuigiza la  Dolby Theatre, Machi  2, 2014, mjini Los Angeles.

Matthew McConaughey mshindi wa tuzo la mchezaji bora katika filamu ya  "Dallas Buyers Club"  kwa mwaka 2014.

Cate Blanchett akizungumza kwenye jukwa baada ya kushinda tunzo la mchezaji bora mwanamke kwa kucheza katika filamu ya 'Blue Jasmine" wakati wa tamasha la 86 la Academy Awards huko Hollywood, CA, March 2, 2014.

Jared Leto akikubali kupokea tuzo lake la muigizaji msaidizi bora katika filamu ya “Dallas Buyers Club” wakati wa tamasha la Oscars katika ukuimbi wa  Dolby Theatre on Machi8 2, 2014, mjini Los Angeles.

Lupita Nyong'o, akipokea tuzo "12 Years a Slave", speaks on stage at the 86th Academy Awards in Hollywood, CA. March 2, 2014.

Alfonso Cuaron accepts the Oscar for best director for "Gravity" at the 86th Academy Awards in Hollywood, CA. March 2, 2014.

Kristen Anderson-Lopez, left, and Robert Lopez pose in the press room with their awards for best original song in a feature film for “Let It Go” from “Frozen” during the Oscars.

Paolo Sorrentino poses in the press room with the award for best foreign language film of the year for "The Great Beauty" during the Oscars.

Emmanuel Lubezki poses in the press room with the award for best cinematographer of the year for "Gravity" during the Oscars.

Anthony Katagas, from left, Jeremy Kleiner, Dede Gardner, Steve McQueen, and Brad Pitt pose in the press room with the award for best picture of the year for "12 Years a Slave" during the Oscars.