Upinzani kuitisha maandamano DRC

Wafuasi wa Upinzani DRC wakifanya maandamano katika picha ya awali.

Vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, vimetishia kuitisha maandamano tarehe 24 mwezi huu kishinikiza Tume huru ya uchaguzi kutoa kalenda ya uchaguzi.

Your browser doesn’t support HTML5

DRC Upinzani

Hata hivyo serikali imepanga mikakati ya kufanyika kwa mazungumzo baina yake na vyama hivyo swala ambalo viongozi wa upinzani wanasema ni la kuwapotezea muda tu.