Obama kufanya ziara Cuba

Rais Barack Obama wa Marekani.

Rais Barack Obama wa Marekani amewakaribisha wabunge wa Marekani kutoka vyama vyote kujiunga naye katika ziara ya kihistoria nchini Cuba.

Rais Barack Obama wa Marekani amewakaribisha wabunge wa Marekani kujiunga naye kwenye ziara nya kihistoria nchini Cuba inayatarajiwa kufanyika katika muda wa wiki moja.

Your browser doesn’t support HTML5

Obama Cuba.

Ingawaje ordha ya watakaoandamana naye Rais haijatolewa, mwandishi wa VOA Michael Bowman ameweza kuzungumza na maseneta kadhaa ambao wamedhibitisha kupokea mwaliko huo.